ONFIVEE inakuunganisha na taasisi, makampuni, na mashirika yanayotoa nafasi za Field Attachment, Internship, Volunteer, na Employment, yote mahali pamoja.
Mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa vyuo kama sehemu ya mtaala. Taasisi zinatoa nafasi bure.
BURE daimaMafunzo kazini kwa muda, ya malipo au bila malipo. Ada ndogo kwa nafasi za malipo.
BURE (Unpaid) Inahitaji plan (Paid)Nafasi za kujitolea na mashirika, NGOs, na serikali. Jenga uzoefu na reputation yako.
BURE daimaNafasi za kazi za kudumu au za muda. Ada ndogo inahakikisha maombi ya kweli tu.
Inahitaji planUzoefu uliothibitishwa unaoweza kuonyesha, wenye vyeti, mapitio ya wasimamizi na skill interviews kwenye profile yako.
BURE daimaJiunge na maelfu ya wanafunzi, interns, wanaojitolea, waajiriwa na taasisi kwenye ONFIVEE, jukwaa la kwanza la aina yake duniani.
Filter nafasi kwa mkoa, kuanzia Dar es Salaam hadi Arusha, Mwanza na mikoa yote 20 ya Tanzania.
Jiandikishe kupata taarifa za nafasi mpya mara zinapotangazwa. Usikose chochote.
Kila taasisi inathibitishwa na Admin kabla ya kutangaza nafasi. Usalama wa juu.
Wanafunzi wanajenga portfolio ya uzoefu wao wote, ikiwemo maoni, nafasi zilizokamilika na trust score.
Unda akaunti yako kwa dakika 2. Hakuna verification ya nje, jaza taarifa zako tu.
Filter kwa aina, fani, mkoa, au malipo. Pata nafasi inayokufaa wewe.
Omba bure kwa Field, Volunteer na Unpaid Internship. Paid Internship na Employment zinahitaji plan.
Supervisor anatoa maoni baada ya kukamilika. Trust score yako inaongezeka kwa kila uzoefu.
Fungua akaunti yako bure kwa dakika mbili. Hakuna ada ya kujisajili.